Self Study Activity Packs

Instructions

Each day with your child:

 

1) Click on your child’s class below.

 

2) Open the self study activity pack for your child and let them complete the tasks.

 

3) For reading practice, click here to access our storybook library and start exploring the books available. The library will grow each week so there will always be new things to read!

 

Together, we can keep children learning and on the path to success!

Maagizo

 Kila siku na mtoto wako:

 

1) Gusa kwenye darasa la mtoto wako hapo chini.

 

2) Fungua seti ya shughuli za kujisomea ya mtoto wako na umwache akamilishe kazi.

 

3) Kwa mazoezi ya kusoma, gusa hapa ili kufikia vitabu vyetu vya hadithi na uanze kutalii vitabu vilivyopo. Maktaba itaongezeka kila wiki kwa hiyo kila mara kutakuwa na vitu vipya vya kusoma!

 

Pamoja, tunaweza kuwafanya watoto waendelee kusoma na kuwa kwenye njia ya mafanikio!

Not what you were looking for?
up